Onyesha matumizi ya `ka’ katika sentensi ifuatayo: Mumbi alitia embe kapuni likaiva.

      

Onyesha matumizi ya `ka’ katika sentensi ifuatayo:
Mumbi alitia embe kapuni likaiva.

  

Answers


Jim
1-Inaonyesha matokeo ya kitendo
2-Inaonyesha matokeo yanayosababishwa na kitendo.

jim items answered the question on September 24, 2018 at 17:03


Next: Bainisha nomino na chagizo katika sentensi: Mwenyewe atakuja awape kwa dhati
Previous: Andika sentensi hii katika hali ya mazoea: Mmomonyoko wa udongo ulipozuiliwa mashamba yalinawiri.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions